Minecraft
Minecraft ni mchezo wa video uliofanywa na Markus "Notch" Persson wa Sweden.
Mwaka 2015, Notch alistaafu na kuuza kampuni yake, Mojang, kwa Microsoft kwa $ bilioni 2.5.
Huu ni mchezo wa kuvunja matofali. Mchezaji anaweza kuvunja matofali yaliyo kokote duniani, pia anaweza kurudisha matofali na kuyaboresha zaidi. Mchezaji anatakiwa kutumia vifaa maalum kama vile shoka.
Mchezo huu ulitolewa kwenye Xbox 360 kama mchezo wa Xbox Live Arcade mnamo Mei 9, 2012. Ilitolewa kwa PlayStation 3 tarehe 17 Desemba 2013, na PlayStation 4 tarehe 4 Septemba 2013.
![]() | Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Minecraft kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
🔥 Top keywords: Maalum:TafutaMwanzoMikoa ya TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaAina za manenoShairiFasihi simuliziOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoCecil David MwambeTanzaniaDiamond PlatnumzJumuiya ya Afrika MasharikiSilabiVieleziKamusi za KiswahiliVivumishiLughaOrodha ya makabila ya TanzaniaMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaMartha KaruaSensaUandishi wa ripotiWilliam RutoMaumivu ya kiunoUkimwiMisemoVitendawiliNembo ya TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa Tanzania